Pages

Wednesday, February 10, 2016

KUTOKA VMC: Sandals za Shanga za Watoto

Hey friends, sasa unaweza kutoa oda ya kutengenezewa viatu vya shanga vya wanao wa kike na wa kiume. Viatu vyetu ni imara vya ngozi, shanga original, soli hazijikunji vikiachwa juani na wala baada ya muda haviachi alama ya vidole. Bei ni elfu 20. Kama unahitaji karibu 'wasap' 0755 2000 23 unipe vipimo vya wanao.

Nifuate Instagram: vivimachangehomes

No comments:

Post a Comment