Pages

Wednesday, February 3, 2016

KUWA WANGU KWA CHINI YA TSH 31,000....

Idea ya zawadi za valentine kwa umpendaye!...kila moja ni chini ya elfu 31
Sandals za ngozi na shanga za kike
Mishumaa yenye perfume
Sandals za ngozi za kiume
Mito flat kwa ajili ya viti vya plastiki, kiti cha gari au ofsini hasa kwa mjamzito.
Table runner

Wako akupendaye, Vivi


No comments:

Post a Comment