Pages

Saturday, February 13, 2016

PAZIA NZURI ZINATAKIWA ZIFANYE KAZI MBILI; KAMA PAMBO NA KAMA MATUMIZI YA KULETA FARAGHA


Happy romantic weekend friends, 
Pazia zozote nzuri zinatakiwa ziweze kuwa na manufaa mawili. Kama pambo na kuleta faragha. 

Pazia nzuri sasa zinapatikana kwa mita elfu 25 na nyepesi yake elfu 12. Gharama hizi ni pamoja na fundi kukushonea kwa mitindo mbalimbali iliyopo ya kuchagua kadri unavyotaka. Karibu sana Woiso Products...Simu 07552000 23

NIFUATE INSTAGRAM: vivimachangehomes

No comments:

Post a Comment