Pages

Saturday, February 6, 2016

---VITU VIZURI---DUVET NA MASHUKA

Msomaji wangu chereko chereko!!...habari njema ya matandiko....ni duvet moja, shuka moja na foronya 4 (2 kubwa na 2 ndogo) kwa elfu 90 tu. Size ni futi 8 kwa 8 na material yake ni nzito.
Hii ni sample iliyotandikwa kwa Mtanzania mmoja aliyenunua.
Hii iliyotandikwa picha ya kwanza (angalia hapo juu) ndio tandiko hili.
Sample ni nyingi wewe tu uchague unayotaka (zaidi njoo whatsapp kama wewe ni mnunuzi serious)




Hii sasa ushindwe wewe tu, unaletewa hadi ulipo. Simu 0755 200023. Nakupenda ndio maana nakutafutia vitu vizuri..

No comments:

Post a Comment