UREMBO....Pure skin ni suluhisho kwa ngozi yenye mafuta mengi
Je una mafuta mengi usoni? Oriflame pure Skin inasaidia yafuatayo kwako mwenye ngozi ya mafuta (kumbuka kama huna uhakika na aina ya ngozi yako nijulishe tukupime). Huondoa chunusi sugu Hung'arisha ngozi Hupunguza vitundu usoni Huondoa mabaka Ni kwa umri wowote (all ages) ila kwa ngozi ya mafuta tu. Mawasailaino 0755 200023 Usisahau kuja kunishukuru baadaye!
No comments:
Post a Comment