Pages

Thursday, January 19, 2017

Sabuni na Scrub ya maziwa na asali itaacha ngozi yako laini kama siagi

Je ulishajaribu sabuni na scrub ya maziwa na asal toka oriflame? Zitaacha ngozi yako laini na nyororo kama asali! Bei ya scrub ni 17,000 na bei ya sabuni ni 13,000.
Kwa oda uletewe ulipo au ufuate mwenyewe moroko piga 0755 200023. Kumbuka jipende wewe kwanza ndipo na wengine watakupenda!

No comments:

Post a Comment