Pages
▼
Friday, May 26, 2017
HUZUIA MAPELE BAADA YA KUNYOA NDEVU
North for men ni seti ya bidhaa kwa ajili ya wanaume. Katika seti hii kuna, shaving foam, soap bar, sabuni ya maji na spray.
Shaving foam husaidia kwa wale wanaume wanaopata mapele baada ya kunyoa ndevu. Hutumika wakati wa kunyolea kwa kupaka kwenye ndevu kwanza kisha ndio kunyoa kunafuata. Bei yake ni 25,000
Soap bar ni sabuni ya kipande ya kuogea mwili mzima kuanzia usoni. Bei yake ni 7,000
Spray ni deodorant ya kiume ya kupaka kwapani na kuondoa harufu mbaya kwa kuyaweka makwapa fresh kwa masaa 48. Bei yake ni 16,000
Hand and body wash ni sabuni ya maji ya kuogea kuanzia kichwani mpaka mwilini. Ina povu jingi na inatakatisha mwili vizuri na kurutubisha ngozi. Bei yake ni 13,000
Kwa mahitaji tuwasiliane 0755 200023
No comments:
Post a Comment