Pages

Thursday, May 25, 2017

LOVE NATURE LOTION NA CLEANSER NI KWA NGOZI ZENYE MAFUTA / OILY SKIN

Kwa yeyote mwenye ngozi yenye mafuta, kwenye hii seti anza na hizi product 2 ambazo ni cleanser/sabuni pamoja na lotion.

Jinsi ya kutumia:
Kata kipande cha pamba halafu kiloanishe maji. Baada ya hapo weka matone ya cleanser na futa/sugua uso mzima na hiyo pamba iliyoloa  maji na cleanser. Ukimaliza chukua maji safi suuza uso wote. Jikaushe na ndipo upake Love nature tee tree lotion kwa kuchovya ncha ya kidole kwenye lotion na kuiweka kwenye mashavu, kidevu na paji la uso kisha sambaza uso mzima.
Fanya hivyo kwa miezi miwili na hakika chunusi na alama nyeusi usoni zote zitaisha.

Bei ya kila moja ni 19,000 kama inavyoonyesha hapo kwenye kipeperushi.

Tuwasiliane 0755 200023 na nakuletea hadi ulipo.

No comments:

Post a Comment