Pages

Tuesday, June 20, 2017

Pochi handbags nzuri na imara

Pochi nzuri na imara.
Bei 45,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Gauni nyeupe fupi za lesi


Gauni za lace fupi rangi nyeupe na dark bluu size zote zipo.
Hizi gauni ni nzuri mno!
Bei 40,000
Tunaweza kukuletea hadi kwenye kiti chako. Pia tunatuma mikoani
Tunauza jumla na rejareja
Mawasiliano 0755 200023



Baiskeli za watoto zenye tairi mbili


Baiskeli za watoto zenye tairi mbili, umri wa miaka 6 -11 

Size 12 mpaka 16

Bei  330,000
Rangi nyingine ni pink.
Tupo Sinza kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Gauni hili unalivaa popote


Gauni lipo kwa rangi hizi mbili nyeusi na nyeupe.
Bei ni 30,000
Tunauza jumla na rejareja.
Tunaweza kukuletea ulipo ukitaka.
Usiporidhika unarudisha.
Mikoani tunatuma.
Tupo Kariakoo mchikichi na msimbazi na tupo pia Sinza Kamanyola
Kwa mawasiliano piga, text au whatsapp 0755 200023

Saturday, June 17, 2017

Gauni nyeupe na nyingine nyingi

Sketi tight 26,000
Top zimeisha

Hii blauzi ya vifungo kifuani ipo kwa rangi hii, kijani jeshi na pink. Size M, XL na XXL Bei 21,000
Suruali size 27 - 34 bei 28,000

Gauni 30,000

Gauni 30,000

Gauni la mtoko 30,000

Gauni la lace 38,000

Gauni la lesi 40,000
Tupo Sinza Kamanyola
Tunakuletea hadi kwenye kiti chako
Usiporidhika unarudisha
Mawasiliano 0755 200023

Wednesday, June 14, 2017

Blauzi vikoti vya vifungo mbele na pencil skirt


Kikoti chenye mistari pink. Kipo pia kwa rangi ya purple na bluu. Bei 23,000
Pencil sketi 27,000
0755200023

Baiskeli ya watoto ya miguu mitatu ya kuchaji

Baiskeli ya miguu mitatu.

Inatembea kwa chaji ya umeme

Inafaa kwa mtoto aliyeanza kutembea hadi miaka 4/5

Package yote ni 250,000

Tuko wazi saa 3asb hadi 2usk
Sinza Kamanyola
0755200023

KITI CHA MTOTO KUKALIA WAKATI WA KULA HIGH CHAIR

Kiti cha mtoto kukaa wakati wa kula yaani high chair vipo. Ni vipya na ni kwa mtoto
anayeanza kukaa hadi miaka 3.

Bei 350,000⁠⁠⁠⁠
Tupo wazi hadi saa mbili usiku
Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Tuesday, June 13, 2017

Nguo za watoto magauni 28,000

Magauni ya watoto kitambaa chake hakichakai. Urefu inchi 31, ya wa miaka 3-4 
Bei 28, 000 (bei hii huipati pengine popote)⁠⁠⁠⁠
Tupo Sinza Kamanyola, tunaweza kukuletea ulipo na ikiwa hujaridhika unarudisha.
Mawasiliano 0755200023

Magauni mazuri ya watoto

Gauni ya mtoto miaka 3/4.  Bei 28,000.
Tupo Sinza na Kkoo.
Tunadeliver pia.

Baiskeli magari na pikipiki za watoto

Hello wapenzi,
Kama mnavyoniunga mkono kwenye nguo na vitu vya nyumba ndivyo naomba mniunge mkono kwa bidhaa mpya ya baiskeli, magari na pikipiki za watoto umri wa mwaka mmoja hadi 7/8.

Mara nitakapomaliza kufungua kontena nitapost bidhaa na bei. Matoi haya yanachajiwa kwa kutumia umeme kisha yanatembea. Chaja iko kwenye kifurushi cha manunuzi. Endelea kufuatilia hapa.

Pia endapo utataka nikuunge kwenye group la maingizo mapya ya matoi mapambo na nguo tuwasiliane kwa hiyo namba hapo chini.

Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Blauzi za mikono mirefu zenye vifungo mbele bei 23,000

Blauzi nyeupe zenye vifungo mbele. Zinafaa kwa wanaofanya kazi kwenye ofisi zenye kanuni za mavazi kama vile taasisi za fedha na serikalini. Zipo size small hadi XXXL
Tupo Sinza Kamanyola na pia tunaweza kukulete ulipo. 
Mawasiliano kwa biashara 0755 200023

Friday, June 2, 2017

Kwa hizi za suti hii ina blauzi nyeupe

Ni sketi na blauzi.
Iko size medium (kama hii niliyovaa) hadi XXL
Tupo kariakoo mtaa wa mchikichi na msimbazi.
Tunaweza kukuletea ulipo na usiporidhika unarudisha.

Tunauza jumla na rejareja.
Mawasiliano 0755 200023


Thursday, June 1, 2017

SKETI NA BLAUZI NZURI ZIPO

Ni sketi na blauzi.
Iko size medium (kama hii niliyovaa) hadi XXL
Tupo kariakoo mtaa wa mchikichi na msimbazi.
Tunaweza kukuletea ulipo na usiporidhika unarudisha.

Tunauza jumla na rejareja.
Mawasiliano 0755 200023


Sketi na blauzi

Nguo ileile ila unaivaa upendavyo.
Iko size medium (kama hii niliyovaa) hadi XXL
Tupo kariakoo mtaa wa mchikichi na msimbazi.
Tunaweza kukuletea ulipo na usiporidhika unarudisha.

Tunauza jumla na rejareja.
Mawasiliano 0755 200023

Gauni la mkanda lipo size zote

Gauni la mkanda lipo size zote kuanzia 36 hadi 48
Rangi ni khaki, pink, mint na nyeusi.
Bei ni 27,000
Tupo Kariakoo mtaa wa Mchikichi na msimbazi
Tunaweza kukuletea hadi hapo ulipo kwenye kiti chako wala huna haja ya kuja kupigana vikumbo kariakoo. Usiporidhika unarudisha.
Tunauza jumla na rejareja.