Pages

Monday, June 12, 2017

Baiskeli magari na pikipiki za watoto

Hello wapenzi,
Kama mnavyoniunga mkono kwenye nguo na vitu vya nyumba ndivyo naomba mniunge mkono kwa bidhaa mpya ya baiskeli, magari na pikipiki za watoto umri wa mwaka mmoja hadi 7/8.

Mara nitakapomaliza kufungua kontena nitapost bidhaa na bei. Matoi haya yanachajiwa kwa kutumia umeme kisha yanatembea. Chaja iko kwenye kifurushi cha manunuzi. Endelea kufuatilia hapa.

Pia endapo utataka nikuunge kwenye group la maingizo mapya ya matoi mapambo na nguo tuwasiliane kwa hiyo namba hapo chini.

Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

No comments:

Post a Comment