Pages
▼
Thursday, July 6, 2017
ZILIZOVUMA:...Rob Kardashian acharuka.....aposti picha za uchi za Blac Chyna
Nyota wa kipindi cha luninga cha maisha halisi cha kutoka Marekani cha Keeping up with the Kardashians amecharuka na kuanza kumtuhumu na kuposti picha na video za uchi za star mwingine ambaye ni Blac chyna na mama wa mtoto wao mmoja Dream, akiwa na wanaume wengine.
Nyota huyo amedai kuwa si chini ya mwezi mmoja Blac Chyna alitembea na wanaume nane. Hali imekuwa taharuki mitandaoni kiasi kwamba uongozi wa instagram ukafikia uamuzi wa kufunga akaunti ya Rob.
Mastaa wengine wa nchini humo ambao ni pamoja na Snoop dog na TI wameamua kuingilia kati na kumtaka Rob aache kuleta mambo binafasi instagram kwani kama aliamua kuoa malaya atulie aache kusumbua watu na kama ana hela sana aende akanunue mwingine.
No comments:
Post a Comment