Pages

Wednesday, July 5, 2017

ZINAZOVUMA:....Yusuf Manji kusomewa mashtaka yake wodini


Mfanyabiashara maarufu Yusufu Manji amelazwa katika taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete Muhimbili na atasomewa mashtaka yake hapohapo.

Yadaiwa tayari maafisa wa mahakama wameelekea hospitalini hapo kwa ajili ya kumsomea ndugu Yusufu Manji mashtaka yanayomkabili.

No comments:

Post a Comment