Pages

Wednesday, August 16, 2017

Foronya, mito, maua, vesi na vioo vya kupamba ukutani

Seti ya vioo vitatu vya kupamba ukuta, vyote bei 50,000

Changamsha sebule na makochi kwa mito iliyovalishwa foronya zenye rangi za kuvutia.
Bei ya foronya moja ni 10,000

Vesi na ua lake 40,000
Toa oda yako, karibu tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote
Mawasiliano text, simu, whatsapp 0755200023

No comments:

Post a Comment