Pages

Friday, August 25, 2017

Sasa unaweza kununua bidhaa toka China kupitia kwetu


Wapendwa wateja wetu, je kuna bidhaa yoyote ya kwako binafsi ya wanafamilia wako, ya nyumbani kwako au ya kwenye biashara yako (kwa mfano umefungua shule ya nursery/chekechea na unahitaji michezo ya watoto) ambayo unaitaka kwa kiwango na kwa gharama nafuu? Habari njema ni kwamba sasa tuna ofisi China na unaweza kuoda bidhaa unayoitaka kupitia kwetu. Tutakuchagulia, tutakuonyesha mbalimbali za aina ya unayoihitaji, tutakupa bei ya kununulia na tutakushauri makadirio ya bei ya kusafirishia.
Wasiliana nasi tununue pamoja kutoka China. Mawasiliano 0755200023.
Sinza Kamanyola

No comments:

Post a Comment