Pages

Thursday, August 17, 2017

Je, hupendi mrundikano ila unapenda hela?

Naamini kabisa kuna watu wengi ambao wana nguo, vitu vya nyumbani na matoi ya watoto ambayo ni kama mapya ila wanapenda kuyaondoa nyumbani kwao ili kuepuka mrundikano lakini wakati huohuo wakitaka angalao wapate kipato kutokana na vitu vyao hivyo.

Kama wewe ni mmojawapo wa wenye vitu kama hivi wasiliana nasi 0755200023 ili tuweze kukuuzia vitu vyako kwenye sale tunayofanya kila jumamosi dukani kwetu.

KUMBUKA UNACHOSEMA CHA NINI MWENZIO ANASEMA ATAKIPATA LINI

No comments:

Post a Comment