Pages

Tuesday, August 22, 2017

Saa ya ukutani na vioo vya pembeni

Seti ya vitu vitatu bei 53,000
0755 200023

Je hupendi mrundikano ila unapenda pesa?
Naamini kabisa kuna watu wengi ambao wana nguo, vitu vya nyumbani na matoi ya watoto ambayo ni kama mapya ila wanapenda kuyaondoa nyumbani kwao ili kuepuka mrundikano lakini wakati huohuo wakitaka angalao wapate kipato kutokana na vitu vyao hivyo.

Kama wewe ni mmojawapo wa wenye vitu kama hivi wasiliana nasi 0755200023 ili tuweze kukuuzia vitu vyako kwenye sale tunayofanya kila jumamosi dukani kwetu.

KUMBUKA UNACHOSEMA CHA NINI MWENZIO ANASEMA ATAKIPATA LINI

No comments:

Post a Comment