Pages

Friday, September 29, 2017

Tisheti, suruali za kike na baiskeli za watoto

T'shirt bei ni 21,000
Suruali 28,000
Baiskeli 80,000
Tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote
Mawasiliano 0755200023

Baisklei za watoto bei 195,000



195,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Monday, September 25, 2017

Baiskeli za watoto tairi mbili bei 195,000

Baiskeli, top, pedo na raba vyote vinauzwa.
Baiskeli 195,000
Mawasiliano 0755200023
Tupo Sinza Kamanyola

Gauni la mgongo wazi / Backless dress

Gauni hili lipo kwenye rangi hizi 2. Bei 60,000
Tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote
Mawasiliano 0755200023

Kutoka: mwanaspoti.co.tz
KILA kukicha mitindo mpya inazuka, kuna watu hudandia mitindo fulani bila kufahamu wanatakiwa wavae nguo za aina hiyo kwa wakati gani. Hebu tuangalie mtindo wa mgongo wazi 'Backless Dress' unavaliwa namna gani. Jambo la kwanza la kuzingatia kwa mvaaji, ni kuhakikisha kwamba unavaa nguo hiyo ukiwa na 'mtoko' wa jioni na wala si kuvaa nguo hiyo wakati wa mchana na kuzurula nayo mitaani.

Saturday, September 23, 2017

Baiskeli za tairi 3 bei 80,000

Baiskeli za tairi 3 zimebaki chache rangi bluu na nyekundu. Wahi zimebaki chache bei 80,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Friday, September 22, 2017

Wallpaper hizi ziko kwenye sale. Roll 30,000 wahi.



Design za wallpaper hizi tatu ziko kwenye sale. Kama unahitaji wahi haraka ziko chache. Roll 30,000
Mawasiliano 0755200023

Vioo vya ukutani vya aina mbalimbali vipo



Pendezesha kuta za nyumba yako kwa vioo vya mapambo.
Mawasiliano 0755200023

Baiskeli za watoto zinachanja mbuga popote

Baiskeli hizi za watoto zinachanja mbuga kokote sio labda udhanie ni ndani au kwenye sakafu laini tu.
Bei 80,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Thursday, September 21, 2017

Hivi ndivyo tunavyonogesha kuta kwa vioo




Vioo vya kupamba ukutani vipo. Bei 150,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Magari ya watoto, blauzi, pedo na suruali za kike za vitambaa

Blauzi body suit ya kuvalia jeans au pia unaweza vaa ndani ya koti la suti bei  22,000
Pedo 25,000
Viatu 45,000
Gari mtoto anapanda unamsukuma bei 150,000




Nguo zote hizi na viatu zipo. Tupo Sinza Kamanyola, mawasiliano 0755 200023
Tunatuma popote.

Thursday, September 14, 2017

Ukubwa wa carpet la sebuleni


Ukubwa sahihi wa zulia la sebuleni ni ule ambao nyayo za mtu aliyekaa kwenye kochi zinagota juu ya zulia.

Kwa sebule ndogo kabisa angalau zulia liwe na kipimo cha kuanzia mita 2.
Kwa mahitaji ya mazulia ya sebuleni bonyeza kwenye vinavyouzwa.

Mawasiliano 0755200023

Magari, Pikipiki na Baiskeli za watoto



Asanteni sana wateja wangu toka kila pembe ya nchi kwa kuendelea kuniamini kwa magari, baiskeli na pikipiki za watoto.

Baiskeli zipo za kuanzia 80,000 na magari kuanzia 150,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Sunday, September 10, 2017

Asanteni sana wateja wangu wa mikoani kwa kuendelea kuniamini

Nawapenda. Oda chochote na utakipata jinsi ulivyooda.
Mawasiliano 0755200023

Sunday, September 3, 2017

Kaptula, pedo, tisheti

Kaptula nyeupe za kike bei 24,000.
Unajua tena yale matukio ya kuambiwa vaa white!

Kaptula za kiume bei 24,000

Pedo za jeans bei 28,000


Tishet za kola maarufu kama tshirt za form six
Bei 25,000

Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Baiskeli za watoto wa miaka 2 hadi 5 zipo, bei 80,000

Baiskeli za matairi matatu kwa watoto wa miaka miwili hadi mitano zipo rangi nyekundu na bluu. Unachagua tunakuunganishia.
Bei 80,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023
Tunatuma kila mahali.
Karibu.

Saturday, September 2, 2017

Suruali za wanawake wanene kabisa zipo Bei 28,000 tu



Suruali za jeans za wanawake wamama wanene kabisa zipo.
Tupo Sinza Kamanyola
Simu 0755 200023
Tunatuma popote
Asanteni wateja wangu wa ndani na nje ya nchi kwa kuendelea kuniamini. Bila ninyi hakuna biashara!
Nawapenda.....

Friday, September 1, 2017

Magari ya watoto


Ingizo jipya la magari ya watoto, yana mlingoti nyuma mtoto anapanda akiwa amekamatia usukani anajifunza kuzungusha, mkubwa anashikilia huo mlingoti anamwendesha.
Bei 150,000
Tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote
Mawasiliano 0755200023
Ni mazuri ya kujenga bond na mtoto wako.

Tisheti za kiume za kuspend weekend zipo

Tisheti za kiume za shingo za round na pia zenye kola maarufu kama za form six zipo.
Bei 24,000
Tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote, mawasiliano 0755200023

Shuka, bedcover, foronya na pazia

Kila mmoja bila shaka anapenda kumechisha shuka na pazia.
Hapa kwenye package hii unapata shuka 2 za size ya 7 kwa 6, pazia 2 kila moja upana wa mita moja na nusu na foronya 4. Jumla vyote hivi ni 75,000

Hapa kwenye package hii unapata bed cover 1, shuka 1 za size ya 7 kwa 6 na foronya 4. Jumla vyote hivi ni 45,000
Mawasiliano 0755200023