Pages

Sunday, October 22, 2017

Mafuta ya nazi


Mafuta ya nazi ya Africana ni extra virgin /nazi bikira kwa maana ya kwamba hayana chemicals kabisa hata preservatives. Yanatengenezwa hapa nchini. Hayajachemshwa ni cold pressed ni mazuri kwa kupaka watu wa rika zote kwenye ngozi na nywele na kupikia hasa kwa watu wenye cholesterol and kisukari maana ni cholesterol free. Pia kunywea kwenye vinywaji kama vile chai katika kupunguza unene bila kusahau kusukutua ili kuondoa maumivu ya fizi na meno na kuyafanya meupe. Kwa ujumla mafuta haya ni hakika kwelikweli na yana faida nyingi kwenye mwili wa binadamu..kama mnavyonijua sibahatishi!

Makubwa mls 250 bei ni 15,000
Na madogo mls 120 bei ni 8,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

No comments:

Post a Comment