Pages

Wednesday, May 30, 2018

Muundo wa kitanda

Good morning wapenzi,
Sio siri kuwa wengi tumekuwa tukizingatia muundo wa ubao wa kichwani mwa kitanda (headboard) kuliko ule wa miguuni.
Je, umefikia wakati sasa wa kuzingatia ubao wa miguuni pia?
Kwa mahitaji ya vitanda vya mbao, tunatengeneza tuwasiliane 0755200023

No comments:

Post a Comment