Tunasafisha sofa za leather / ngozi na za vitambaa
Tuna dawa mbalimbali za kusafishia sofa za aina zote. Tunaweza kukuletea popote ulipo endapo unataka kusafisha sofa zako mwenyewe nyumbani na tutakuelekeza jinsi ya kutumia. Pia ukipenda kijana aje kuzisafishia kwako tunamtuma. Au sisi kuja kuzibeba, kuzisafisha kwetu na kukurudishia pia inawezekana. Tupo Sinza Kamanyola Mawasiliano 0755200023 Tunakurahisishia maisha yako.
No comments:
Post a Comment