Faux fur carpets zipo kwa rangi sita, kubwa ni 150,00 na ndogo ni 100,000. Makapeti ya manyoya laini sana ya faux fur ni laini sana kiasi kwamba unaweza kuwa nalo kwa ajili ya kulishikashika tu kuburudisha mikono na pia unaweza kuyatandika popote iwe ni sakafuni, kitandani, kwenye kochi au mezani. Mawasiliano 0755200023
No comments:
Post a Comment