Mrejesho wa mteja oda ya mito ya sakafuni na mito midogo
Hakika mteja wangu amefurahia kazi yake aliyonipa ya kumtengenezea mito mikubwa ya sakafuni na mito midogo ya kutupia. Ni ukweli kuwa hadi mteja ananipa vipimo, anatuma pesa na anapokea oda yake hatujawahi kuonana uso kwa uso. Nipe oda yako ya mito ya makochi au mito ya chini sakafuni, natuma popote na nakuletea hadi ulipo. Mawasiliano 0755200023 Sinza kamanyola
No comments:
Post a Comment