Pages

Sunday, October 21, 2012

ni kama jana tu

ukiona kitu kizuri cha kumfaa mwanao hata kama ni hapo miaka 10 ijayo usiache kumnunulia kwa ajili siku hazigandi. utashangaa mara anakitumia. nakumbuka baba mwenye nyumba alikutana na buti nzuri za mvulana kama wa miaka 12 akamchukulia mwanae wa miaka 2 watu wakamcheka na kumshangaa sana. lakini soon huyo kijana atazitinga..

1 comment:

  1. Soon Ian stazivaa hizo butu.Yaani naamini kabisa siku hazigandi,juzi tuu Alan kazaliwa leo anasoma,maajabu haya jamani.

    Mage Mwanza

    ReplyDelete