Pages

Tuesday, September 3, 2013

bembea likiwa kwenye maandalizi kabla ya kuwekwa

Watoto nao wanahitaji kujinafasi kwenye bustani kama eneo lipo. Wengi wanashinda ndani kwenye tv na game, ni vizuri kuwafikiria kwenye michezo ya nje.

..bembea likiwa kwenye maandalizi ya kuwekwa, hata wakubwa ruksa kubembea ila halahala kuvunjika meno ukubwani..

No comments:

Post a Comment