Pages

Monday, September 16, 2013

uani

mambo yote ni uani..unaweza kukaa uka relax ukachinja mbuzi ukala na ndugu jamaa na marafiki huku mkitafakari maisha taratiiiibu. uani mara nyingi hakuna usumbufu kiasi kwamba hata mgeni anayetokezea mbele hajui kinachoendelea uani. napenda uani..hakujawahi kukosea. angalia uani mwa nicole richie hapa chini, yeye kaweka kabisa sofa na viti...

No comments:

Post a Comment