Pages

Tuesday, March 4, 2014

mbolea ya kuku na canadian grass ni kama mgonjwa na uji

basi baada ya kijimvua cha hapa na pale asubuhi hii nikaangalia bustani yangu jinsi kijani kilivyoshamiri baada ya kuweka mbolea ya kuku. kiumande kwa mbaali na wingu bado lipo. mdau wakati huu wa mvua ni mwake kuweka mbolea kwenye bustani..

No comments:

Post a Comment