Pages

Monday, March 3, 2014

my everyday life: mpangilio wa eneo la nje ya nyumba

mara kadhaa napata cha kupost kwa kuangalia ni nini wasomaji wangu wanataka kufahamu. baadhi wameniomba kufahamu mpangilio wa nje ya nyumba. kwa maana ya kwamba labda mtu kashajenga nyumba yake sasa anahamia kwa hivyo anauliza nje akugaweje gaweje. kwa uzoefu wangu nje kuwe na maeneo manne. eneo la sakafu ngumu ambalo ni la drive way na la pili la walkway, la tatu liwe ni sehemu ya majani, maua miti yani kwa ujumla ni lile eneo la udongo ambalo unaweza kuotesha chochote. eneo la nne ni lile la maji kwa mfano kama una uwezo wa kuweka swimming pool au fontain. ongezea mdau..


No comments:

Post a Comment