Pages

Wednesday, March 12, 2014

my everyday life: marekebisho madogo getini

basi geti lilikuwa linagoma nikasema ni betri imekufa ama ni motor. bahati nzuri fundi akagundua ni gurudumu zinaleta shida labda zimechakaa ama na mvua zilizonyesha nazo zilichangia. nimesema bahati nzuri kwa ajili motor au betri ni ghali zaidi ukilinganisha na gurudumu. twende pamoja katika picha uone zoezi lilivyofanyika..
fundi akinionyesha tairi mpya
reli imeonekana ipo poa
reli zimekubali

geti liko bomba limeshatulia

No comments:

Post a Comment