Pages

Saturday, February 28, 2015

FURAHISHA GENGE: Kabla ya social networks tulikosa mengi


Rejea post yangu ya jana ya mashabiki wa Beyonce wanaoitwa Beyhive waliovamia account ya Kidrock na kugeuza kila post kuwa na vipicha vya nyuki. Basi Kidrock naye kaamua kuwaletea Raid kuua hao nyuki. 

Hivi ukisoma vitu kama hivi unavyocheka mwenyewe unajiuliza ni kwa vipi tulikosa raha ya maisha kabla ya mitandao ya kijamii? Sijui huko mbeleni teknolojia imebeba nini kwa walimwengu..

No comments:

Post a Comment