Pages

Friday, February 27, 2015

FURAHISHA GENGE: Usithubutu kumgusa queen wa Beyhive

Mwanamziki Kidrock alikuwa anapromoti albam yake kwa kumponda Beyonce kuwa yeye Bey si lolote kwenye mziki. Basi mashabiki wa Bey instagram wanaoitwa Beyhive wakachukia wakashambulia account yake  ya Kidrock ambapo kila post imekuwa kama hivi kwenye picha. Hawa Beyhive hawana mchezo na wana muda, kabla mtu hajamponda queen wao inabidi afikirie mara 2 . So interesting!

No comments:

Post a Comment