Pages

Friday, February 20, 2015

MEZ B Afarki Dunia

Kutoka CLOUDS FM: Msanii wa Bongo Fleva,Mez B amefariki dunia muda mfupi uliopita huko mjini Dodoma - Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! - Taarifa zaidi zitakujia kadri tutakavyozipokea!            

No comments:

Post a Comment