Wallpaper ni mbadala tosha wa usumbufu wa kupaka rangi mara kwa mara ndani ya nyumba. Kwa nchi zilizoendelea ni jambo la kawaida sana kukuta ukuta wa sebuleni, vyumbani ukiwa umebandikwa wallpaper. Wallpaper inaweza kudumu hadi miaka kumi na zipo za kuweza kufuta/kusafisha zinapochafuka. Jaribu ulimwengu wa wallpaper badala ya kukaa ndani ya nyumba ukuta umeoza..
No comments:
Post a Comment