Pages

Wednesday, February 4, 2015

NYUMBANI: Baadhi ya njia za kupamba kitanda

Kwenye hizi picha usiangalie ukubwa wa chumba bali angalia kitanda. Hakuna kanuni wakati wa kupamba kitanda, ni wewe tu kufikiria nje ya box
 kwenye kitanda hiki color combo zimeongeza mvuto, orange, damu ya mzee na cream
 duvet/comforter lako unalitupia kama hivi
 mito ya manyoya sio kwenye sofa tu, hata kitandani inapambia

taa za vivuli pembeni mwa kitanda zinahusu, ukitaka kusoma huna haja ya kumsumbua wa pembeni yako kwa kuwasha taa za darini au ukutani

No comments:

Post a Comment