Pages

Wednesday, February 4, 2015

NYUMBANI: Utamshauri mtu kuwa na coffee table za mbao au za kioo?

Ni zipi zinakubamba zaidi, hii hasa inategemea na ladha binafsi, kwa upande wangu napendelea coffee table ya mbao ya mkongo au mninga kwa sababu moja kuu kuwa hata nikitaka kuiuza thamani yake iko palepale.

coffee table ya mbao

coffee table ya pembenne ya kioo

coffee table ya kioo ya duara

No comments:

Post a Comment