Pages

Sunday, February 22, 2015

PICHA: Palm hii ni moja ya mimea unayoweza kuweka ndani


Kuna aina kadhaa za palms, nyingi zina mashina manene na ni mikubwa ila huu ni mmojawapo unaoweza kuuweka ndani, hauhitaji maji mengi na kijani chake huwa hakififii, na pia hauoti kwa kasi. Kinachotakiwa ni kuweka walau glasi 2 za maji kwenye chungu ulichooteshea ambayo yanakaa wiki nzima. Halafu unakuwa unashika tu kimkasi kidogo na kuondoa majani makavu, kazi ambayo unaweza kuifanya wewe mwenyewe.

No comments:

Post a Comment