Pages

Tuesday, March 17, 2015

JOSE CHAMELEONE AMEFIWA NA MDOGO WAKE, AK47 JANA BAADA YA KUDONDOKA CHOONI NA KUANGUKIA KICHWA





Aliyekuwa Mdogo wake Jose Chameleone, AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya
kudondoka chooni na kugonga kichwa kabla umauti haujamfika. Mungu ailaze pema roho ya marehemu.

Chanzo: Clouds fm

No comments:

Post a Comment