Pages

Friday, March 13, 2015

LADIES.....UTAJISIKIA MWENYE BAHATI UKIWA NA MUME ANAYEKUBEBEA MTOTO NA KITENGE MGONGONI KAMA HIVI...

Aliyewahi kuwa mshindi wa BBA Kevin Pam wa Nigeria ambaye ni mume wa Mtanzania aliyekuwa mshiriki mwenzake Elizabeth Gupta akiwa amembeba mtoto wake kwa kumfungia mgongoni kwa kitenge. Katoto kako so cute..na anafanana na mama yake.

No comments:

Post a Comment