Pages

Friday, March 13, 2015

PICHA: POLISI WAMHOJI DK SLAA KWA MASAA SITA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA MLINZI WAKE KUTAKA KUMUUA

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa (mbele kulia) akitoka kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam jana akiambatana na wanasheria wake John Mallya (kushoto) na Nyaronyo Kicheere ambapo aliandika maelezo na kuhojiwa na polisi kwa saa sita kuhusiana na tuhuma za mlinzi wake Khalid Kagenzi kutaka kumuua. Chanzo Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment