Pages

Tuesday, March 10, 2015

MAGETI YANAZIDI KUWA KIVUTIO CHA NYUMBA..WABUNIFU, WACHOMELEAJI, WAJENZI MKO JUU

geti la mbuyu
Hii naomba niiite ni evolution ya mageti. Siku hizi ukikatiza baadhi ya mitaa distractions sio simu wala magari, bali ni muonekano wa mageti. Jamani yamekuwa kivutio haswaaaa, kuna ambayo huwezi kutofautisha kama ni mbao au ni chuma.

Pia mengi ya mageti siku hizi ni ya kuslide. Kwa utafiti wangu japo ya kuslide ila wengi wanayasukuma kwa mikono, wachache ndio wameweka motor. Yani geti za kufungua huku na huku kupoteza space zinaishilia mambo ni geti za kuslide. 

Wewe kama una kiota chako ungependa kubaki na traditional gates za kufungua huku na huku au hizi modern za kuslide?

No comments:

Post a Comment