PICHA: KAMPENI YA IMETOSHA MAUAJI YA ALBINO TANZANIA
Rafiki wa harakati za "Imetosha!" na balozi wa
Jay Millions ya VODACOM Zembwela akihamasisha akiwa na marafiki wenzie. Kulia
ni mchora katuni maarufu Masoud Kipanya ambaye pia ndiye mwenyekiti wa harakati
hizo.
No comments:
Post a Comment