Pages

Wednesday, March 11, 2015

PICHA: NYUMBA YA SHEHA WA SHEHIA YA KIBWENI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifajiri familia ya Sheha wa Shehia
ya Kibweni Bibi Asha Ali Nassor ambayo moja ya chumba cha nyumba hiyo kimeteketea na kuunguza vitu vyote vilivyokuwemo.

Chanzo: Zanzibar News

No comments:

Post a Comment