WENGI NGUO ZA KUVAA ZISIWE ZIMETATUKA ...ENDAPO UTAKUTANA NA ALIYEVAA HIVI UTAFIKIRIJE..
Wanaume mnaosoma hapa mniambie, je kuna raha ya kuvaa nguo zilizotatuka...au ni fashooon...angalia hiyo sweta na tshirt ya Mr. West....lakini pia yaweza kuwa strategy ya ku make headlines, asingevaa hivyo nisiangeandika hii post...
No comments:
Post a Comment