Pages

Wednesday, March 18, 2015

PICHA: SIKU MOJA BAADA YA ELTON JOHN KUWAWAKIA DOLCE & GABBANA KUHUSU MSIMAMO WAO JUU YA WATOTO WA KUTENGENEZA (IVF) AMEONEKANA AKIWA AMEBEBA MFUKO WA D&G

Sir EJ na mfuko wake wa shopping wa D&G..hilo kalio sasa..ni mama watoto huyu..Kwa picha zaidi bofya..


Picha rasmi ya familia, Sir EJ na mume wake David Furnish na wana wao wawili Zachary na Elijah
Baba mama na wana wao. Familia yao jinsia zote ni wanaume..hata mama.

No comments:

Post a Comment