Pages

Wednesday, March 4, 2015

Unamkumbuka mwanamuziki Noorah? Amefiwa na mkewe

Msanii wa Bongo Fleva,Noorah amefiwa na mkewe,akizungumza na clouds fm alisema kuwa mkewe alikuwa akisumbuliwa na kifua na mazishi yanafanyika mkoani Morogoro.            

No comments:

Post a Comment