Pages

Monday, March 9, 2015

WANAWAKE HAWA WANA BAHATI..

Ni nadra kuona mwanamke akiwa mke na mama wa rais kama ilivyokuwa kwa Ngina Kenyata wa Kenya, na Barbara Bush wa Marekani.

Zanzibar nayo ina historia ya aina hiyo.

Mama Fatma Karume ni mmoja wa wanawake waliojaliwa kuwa mke na mama wa rais katika familia ya Karume.

No comments:

Post a Comment