Pages

Monday, March 9, 2015

VITU HIVI VITATU NI VYA MUHIMU ZAIDI KWA SEBULE YA KUANZIA MAISHA

1. Sofa
Kitu cha kwanza cha ndani ya nyumba wenye nymba au vijana wanaoanza maisha wanachonunua mara zote huwa ni sofa. Ndio hapo watakapokaa kuangalia TV na wageni nk. Kumbuka hapa TV inakuwa bado haijanunuliwa.

2. Kizulia
Carpet nzuri na linalotunzwa linaweza kudumu muda mrefu sana. Hata kama likichoka sebuleni unalihamishia chumbani  - hadi siku moja utakapoamua kuligawa. Kwa hiyo inalipa kwa miaka ijayo kuwekeza kwenye zulia imara sasa.

3. Picha/sanaa  za ukutani

Kwa baadhi inaweza isiwe muhimu ila ni kitu rahisi sana kwahivyo si mbaya ukapendezesha ukuta wako mahali unapoanzia maisha. 

No comments:

Post a Comment