Pages

Tuesday, April 14, 2015

BASI LA GAMET LIMEPATA AJALI KIBITI PWANI BAADA YA KUMKWEPA MWENDA KWA MIGUU MWENYE MATATIZO YA AKILI


Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo cha kuaminika,zinaeleza kuwa Basi la kampuni ya GAMET Transport limepata ajali maeneo ya Kibiti wilaya ya Rufiji-Utete mkoa wa Pwani baada ya kutaka kumkwepa mtu anayedaiwa kuwa na tatizo la akili,lakini kwa bahati mbaya likamgonga
na kufariki papo hapo,taarifa zaidi zinaeleza kuwa baada ya ajali hiyo basi hilo liliacha njia na kupinduka na kupelekea kifo cha mtu mmoja aliyegongwa na wengine waliokuwemo ndani ya basi hilo (idadi ya abiria haikujulikana mara moja) kujeruhiwa.
MICHUZI

No comments:

Post a Comment