Pages

Tuesday, April 14, 2015

Snura Amesema Hawashi Imepokelewa Vizuri kwa vile Mashabiki Walimmisi

Msanii wa muziki Snura, wiki nne baada ya kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina Hawashi aliyomshirikisha Ney wa Mitego, amesema kuwa rekodi hiyo imekuwa na mapokezi ya aina yake mtaani, hasa kutokana na mashabiki wake kummiss kwa muda mrefu.

Snura amesema kuwa, mipango ya video ya kazi hiyo bado ipo chini ya carpet, akiwaahidi kuwashtua na kazi kali kama ambavyo ametisha katika Hawashi kuanzia muandishi aliyemtumia, producer Mesen Selekta na vilevile Ney ambaye amefanya naye rekodi hiyo.(HAWASHI)

EATV

No comments:

Post a Comment