Pages

Friday, April 10, 2015

Diamond Amesema Toka Waachane Hajawahi Kukutana na Wema


Mastaa wa Bongo ambao waliwahi kuwa wapenzi,Diamond na Wema Sepetu hawajawahi kukutana tangu walipoachana mwaka jana.
Staa wa Bongo Fleva,Diamond amefunguka hayo wakati akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm,alipoulizwa kuwa kama wana mahusiano mazuri na Wema Sepetu. ‘’Sina Ugomvi na Wema na sijaonana naye tangu tulipoachana,’’alisema Diamond.


Diamond ametambulisha leo wimbo wake mpya mwenye asili ya mduara uutwao ‘’Nasema Nawe’’aliyomshirikisha Khadija Kopa

No comments:

Post a Comment