Pages

Thursday, April 16, 2015

DNA Imesema Kweli....Huenda Siwema Ilikuwa ni Hasira tu..Ila ni Mwanamke wa Shoka, Kampelekesha mtu hadi kwenye DNA...Mwanamke Courage..safi sana

JIPU pwaaa! Baada ya utata mzito kutawala kwenye vyombo vya habari juu ya uhalali wa mtoto wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mzazi mwenzake Siwema Edson, hatimaye kipimo cha vinasaba (DNA) kimetoka na kumaliza ubishi kwamba mtoto huyo aitwaye Curtis ni damu halisi ya msanii huyo.
GPL

No comments:

Post a Comment